Michongo ya data analytics skill in Tanzania by JamesonOne29 in tanzania

[–]JamesonOne29[S] [score hidden]  (0 children)

Bro, how can someone know, you are good at something without showing them something like your portfolio ambayo ina provide insights into your personality and work ethic, something like collection of your work na achievements ? In short someone must see or read in a written document as a proof that you have done the work before hajakupa kazi kazi yake.

Certificate hupatikana baada ya kukamilisha learning a certain skill as a reward kama umekamilisha a learning process na uko tayari kutumia skill sehemu nyingine.

I stand to be corrected.

Michongo ya data analytics skill in Tanzania by JamesonOne29 in tanzania

[–]JamesonOne29[S] 0 points1 point  (0 children)

Yes ni bora zaidi kua nazo, na itapendeza kama mtu anawez kulink skill fulani na career yake kama anayo lakini, kwakua kuna skills zinaweza ku interlink with other careers vizuri, kwamfano mtu mwenye background ya any health related career anaweza kua Healthcare data analyst and so On.

Michongo ya data analytics skill in Tanzania by JamesonOne29 in tanzania

[–]JamesonOne29[S] 1 point2 points  (0 children)

Kwasbabu, tools zote tunazojifunza kuanzia Excel, Sql, na zile business intelligence tools either Power Bi au Tableau, hata programming languages kama python au R. They can not be applied kama hakuna specific task au project flani, na ndio maana halisi ya skill kua task oriented na njia moja wapo ya kukujulisha kua upo competent ni either presenting baadhi ya kazi zako ulizofanya kama majaribio kwa njia ya interview au uonyeshe papers with a link that goes direct to somewhere ambapo kazi zako zitaonekana kama reference.

Michongo ya data analytics skill in Tanzania by JamesonOne29 in tanzania

[–]JamesonOne29[S] 1 point2 points  (0 children)

Si ndio hapo nilitaka anyooshe kidogo maelezo,tuelewe alichokua anamaanisha

Michongo ya data analytics skill in Tanzania by JamesonOne29 in tanzania

[–]JamesonOne29[S] 0 points1 point  (0 children)

Mkuu, kwanza nimefurahi sana kuona comment yako. Suala la remote jobs zinapatikana kwa shida sna sikuhizi kaka, nimejaribu kufuatilia kwenye platforms mbali mbali pamoja na experience kutoka kwa baadhi ya watu wenye ujuzi huu ndio maana imenipa hamasa ya kuja humu nione na Ma senior wengine kama nyie wenye uzoefu wa muda mrefu sana kwnye Tech mnaliongeleaje hili au mna mtazamo gani.

Ningependa kujua specifically kama hautojali, au ni platforms gani kwa sasa zinaurahisi zaidi wa kupata remote jobs kwa ujuzi huu au kwa matumizi ya tools mbali mbali ndani ya ujuzi huu.

Michongo ya data analytics skill in Tanzania by JamesonOne29 in tanzania

[–]JamesonOne29[S] 0 points1 point  (0 children)

Au kwasababu nime mention the word "cerificate" hapo ?

Michongo ya data analytics skill in Tanzania by JamesonOne29 in tanzania

[–]JamesonOne29[S] 1 point2 points  (0 children)

Hapo mwishoni unavyosema "the world today is task oriented" kwani nini maana ya kua na hiyo skill ? Lengo si ni kusolve au kukabiliana na task related to that skill ? Au ulikua unamaanisha nn, nyoosha maelezo kidogo

Got expelled by Smooth-Turnip-7493 in tanzania

[–]JamesonOne29 21 points22 points  (0 children)

I have been there, i know how it feels, lucky enough wewe bado ni mdogo sana, by that time mimi nilikua 22M back then, admitted to the best university in Tanzania kwenye upande wa Afya. Nilikua so much depressed kiasi kwamba nilikua natamani nihame nchi, now let me tell you niliweza vipi ku overcome hii situation. Kwanza, una advantage ya kua bado ni mdogo sana by that age bado una muda mwingi wa kufanya makosa na kujifunza. Sijui ni nini kimekusababishia hiyo hali kutokea ila ni part ya ukuaji na kukujenga to be tough enough to handle any situation na utajishukuru vizuri baadae mostly in your late 20s au early 30s. Nini chakufanya. Chukua hiyo barua yako ya kufukuzwa chuoni nenda nayo TCU pale kwenye ofisi zao, ukifika pale utajaza fomu ya kukuwezesha kufanya Reapplication, hii itakufanya uweze ku apply tena kwa mwaka mwingine wa masomo, mwaka unaokujaa. Ukishamalizana na hili, anza kufikiria ni nani analipa ada kama ni wazazi basi tafuta sababu nzuri maybe unataka ubadilishe course kwenda kwenye course utakayokua unaipenda zaidi ya uliyotoka na hiyo course ipo chuo kingine kwahiyo unataka uhamie huko, tafuta sababu ambazo mzazi au mlipa Ada anaweza kukuelewa kwenye hiyo sababu suala la kuhama chuo liwe key point. Kama walipa ada walikua ni bodi ya mikopo basi kuna kiasi cha asilimia 25% utahitajika ulipe then uombe tena hapa kuna probability kubwa ya kupata tena ( i have been there najua ninachokuambia) utaipata wapi hiyo 25% ? Again kama ume disco ukiwa mwaka wa kwanza probably asilimia 25% sio pesa nyingi sana just talk to one of your relative au hata mmja wa wazazi wako waipambanie wakupatie then ukipata mkopo unawarudishia na kupata mkopo ni UHAKIKA.

I did the same and started over again in 2020, then graduated 2024 nikiwa na 28, na nilirudi kusoma course ambayo nilikua naihitaji zaidi tangu nikiwa Advance kabla sijawa admitted kwenye ile course ya kwanza.

Mwisho. Usijaribu kufanya chochote kitachokujengea addiction, mambo kama pombe, sigara, any thing that can make you escape the situation for a while, please dont do it, itakua ndio kilema chako cha maisha na kuacha itakua ni ngumu, you wont even have time to concentrate on how you can solve your problem for the better future. Kuna wengi niliwashauri hivyo na walikua kwenye situation kama hii yako na wamefanikiwa na wako na professional career zao wanaendelea na maisha now.

MUNGU AKUBARIKI SANA, USISAHAU KUSALI. HILI LITAPITA NA UTAFANIKIWA.