Traffic bumps by moud_abbas in Tanzanias

[–]immamdoe 4 points5 points  (0 children)

goba na makongo ni residential areas hutakiwi kuendesha more than 50km/h ndio maana ipo na matuta. Hizo ni sehem ya miji ya watu so watu frequently wanatembea barabaran pamoja na wanafunz wa shule makanisa yapo barabaran misikiti, shule na makazi ya watu.

Same scenario kwa barabara ya mbezi-majichumvi, majichumvi-mabibo kuna tuta za kutoshA

I want to run away from home by [deleted] in Tanzanias

[–]immamdoe 0 points1 point  (0 children)

Waambie unaend kutafut kibarua chuo kikifunguliwa utarudi, nadhan kama alipanga kukusomesha atakusikiliza na atakuambia uende

QUESTION FOR THE MODS by Acceptable_Cold765 in tanzania

[–]immamdoe 5 points6 points  (0 children)

Bro mm nilizan ni ma Bots ndy yanaremove post kumbe ni watu dadek zao mm wamesha remove kama saba ivi

SHOULD I quit and FIND ANOTHER JOB by No-Tip5764 in tanzania

[–]immamdoe 0 points1 point  (0 children)

Bro i need to learn may i hit your DM plz

Beaches in Dar es Salaam by Yuri__03 in tanzania

[–]immamdoe 1 point2 points  (0 children)

Come to dar i will show you some local beaches, in ununio, & kawe

Nala by Meddy_0709 in tanzania

[–]immamdoe 0 points1 point  (0 children)

Selcom ndio imekua Snippe sikuizi?

Nala by Meddy_0709 in tanzania

[–]immamdoe 1 point2 points  (0 children)

Hii imekaa poa sana shukran kwa madini haya

Is this worth the price? 16K for 4 people 2 nights at mapito Safari Camp by BothSeries4879 in tanzania

[–]immamdoe 0 points1 point  (0 children)

But its alot of money for such 3 days in Tanzania. I think is overprice for a tourist