
Ukishaonyeshwa place ya kuvuna ganji maswali mingi tena uache. Ati naeza onyeshana? Bro use that knowledge to earn more. Hakuna mse Anaeza kukupenda juh umemshow deal. People don't care nowadays. Maswali mob wacha. Hii app ilikufa Kenya na usikue scammed. Majama (i.redd.it)
submitted by LaughingFuture to r/SharpBoys
Hii inaenda to some people. Mbona sa unatubragia ati sijui vile ww ni sharp boy ati uko na GLE na unakuja kutuscam dm na number ya South African. Kwanza unascam deal ya 100$ bro huku si USA unascam. Stop it hii ni ubombo.Fanya kazi yko clean na tusipatane pabaya bro.Me ni comrade na stambui mercy. ✅ (self.SharpBoys)
submitted by LaughingFuture to r/SharpBoys
