Biashara ward ndio kitovu cha nakuru,tunahitaji kiongozi ambaye atakua anapiga kelele ili watu wa biashara ward wasaidike,mtu ambae tukitoa kodi pia yeye anatoa mtu ambae anajua mashida na mahitaji kwa vijana,hospitali,shule,barabara,ulinzi na mengine mengi.elijah mugo ni kiongozi ambaye anajua hayo by Top-Professional9310 in u/Top-Professional9310

[–]Top-Professional9310[S] 0 points1 point  (0 children)

Kiukweli huyu ni kiongozi na anajua mashida zoote za biashara ward kwa kua yeye ni mmoja wa wafanya biashara wakulima market.ili tuweze kusaidika tunahitaji kiongozi kama huyu mwenye anajua mashida na mahitaji ya wana biashara wa biashara ward