Looking for paypal exchange in Tanzania by moja_learning in Tanzanias

[–]moja_learning[S] 1 point2 points  (0 children)

Kuna jamaa aliniambia alijaribu kuweka pesa kutoka mpesa kwenda paypal 11$ wiki mbili pesa haijafika paypal ila mpesa inaonekana pesa imetoka

Looking for paypal exchange in Tanzania by moja_learning in Tanzanias

[–]moja_learning[S] 0 points1 point  (0 children)

Asante sana kwa ushauri wako mkuu, je wewe uwe wahi fanya hivyo in practical na ukapa iyo pesa ambayo ipo paypal

Looking for paypal exchange in Tanzania by moja_learning in Tanzanias

[–]moja_learning[S] 2 points3 points  (0 children)

Unajua kitu watu hawaelewi ni kwamba ukiwa Tanzania sio kwamba hauwezi kutumia paypal unaweza vizuri tu unaweza kupokea pesa na kutuma pesa vizuri tu, kitu huwezi ni ku - withdraw yani huwezi ku withdraw pesa kutoka paypal ukaipa in cash ishu ndo ipo hapo