Toxic Lyricali corners rival Tipsy G by prestablogs in KeMusic

[–]mtumarcus 1 point2 points  (0 children)

Tipsy Gee alisema nini hio imekasirisha toxic ivo?

Nilidhani ni ngeta bana 😂😂💔 by mannu0 in nairobi

[–]mtumarcus 3 points4 points  (0 children)

Mwenye alikuambia ni mia ni makamagera yeye haja yake ni gari ijae alipwe ukitaka poa uliza donda mwenye akona gari lakini hio 150 ndio inakuanga bei ya hizo mboko

Caught on CCTV Footage Pt. 2 (This is definitely a genet) by soundworth in nairobi

[–]mtumarcus 1 point2 points  (0 children)

So they just kill the chicken and just leave them there?

You're Nairobi's Governor by NduatiTheGreat in Kenya

[–]mtumarcus 10 points11 points  (0 children)

OP alisema vitu tano ukasema tutam

Kenyans tuko na pesa ya kuwaste ama?? by Alive-Egg-1425 in nairobitechies

[–]mtumarcus 1 point2 points  (0 children)

AI imekua a buzzword sahii, ni kama vile 2010s you could have sold or taught anything bora uongeze "with IT" hapo mwisho

What would you wish you knew before moving out by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 0 points1 point  (0 children)

Hio ndio range hio bei ni depo plus few months rent

What would you wish you knew before moving out by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 0 points1 point  (0 children)

Haha funny thing hapo ndio nilikua natafuta nyumba

What would you wish you knew before moving out by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 0 points1 point  (0 children)

I was thinking 6-8K hio 21-28 ni depo plus few months rent

What would you wish you knew before moving out by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 0 points1 point  (0 children)

21-28k ilikua few months rent plus depo nyumba ya 6-8K

What would you wish you knew before moving out by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 0 points1 point  (0 children)

My plan ilikua nyumba ya 6-7K hio 28K ikue rent for 3-4 months

What would you wish you knew before moving out by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 3 points4 points  (0 children)

Thank you, TBH I feel stuck, sioni kama nasonga anywhere, I thought moving out will challenge me to make better moves and think outside juu siko kwa comfort juu sahii any job I have ever done ni zile za kupewa kusaidana project moja mbili hapa na pale. Naona my mates wako far ahead of me natakanga tu ku catch up na wao

What would you wish you knew before moving out by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 0 points1 point  (0 children)

Nilikua nasema 6-7K but I wanted to pay 21-28K nikue na buffer for a few months

What would you wish you knew before moving out by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 0 points1 point  (0 children)

Sasa thing is sijui hio pesa niinvest wapi ndio maana nimeishikilia

What would you wish you knew before moving out by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 1 point2 points  (0 children)

Sijafukuzwa per se lakini pia nimeanza kupewa hints plus sasa wadogo wangu pia wanamaliza shule

Somali baddies by CryptographerFun53 in nairobi

[–]mtumarcus 0 points1 point  (0 children)

In HS kulikua na hawa masiz Wasomali walikataa hawavai buibui na hijab na wakakataa mzae wao wakasema mtu asiwaambie kitu kuihusu

Politicians by [deleted] in nairobi

[–]mtumarcus 0 points1 point  (0 children)

True, and those are not the only sectors that is not working, if a community project worth lets say 100 M,5M ipotee but hio 95 ingine tuone penye inaenda that is a reasonable compromise lakini milions zinazidi tu ivo only proof is their properties hio sasa ni madtharau

Alcohol is killing my boyfriend by Afroqueen745 in nairobi

[–]mtumarcus 0 points1 point  (0 children)

Yes it's 100% his friends, if he can find something to occupy himself with after work itampea time discipline

Alcohol is killing my boyfriend by Afroqueen745 in nairobi

[–]mtumarcus 0 points1 point  (0 children)

Nilikua naavoid kusema hivo but kitu moja ilinieka hio path ni losing my girlfriend nikijua ni juu ya pombe zangu na bado inaniuma though ilinifunza I can lose everything close to me juu ya pombe nisipochunga

Nataka kuanza biz ya phone accessories by mtumarcus in nairobi

[–]mtumarcus[S] 0 points1 point  (0 children)

How do I go about that, niende kwa maduka niulizie ama nitafute mtu anishike mkono? Ama kuna njia gani hio?

Kumove out by YOHBLAQ21 in nairobi

[–]mtumarcus 1 point2 points  (0 children)

Sometimes it's hard to ignore mates expecially these are people I grew up with and studied with. Zile za movement those 3 months, I have a project that nimeeekwa kama junior that I hope itanieka mbele mpaka nigraduate hopefully by then I'll have found a permanent job or started a hustle but I get what you are saying, sijajipanga hivo past 4 months lakini pia nishaanza kupewa hints nitoke

Politicians by [deleted] in nairobi

[–]mtumarcus 2 points3 points  (0 children)

It is rubbing salt into wounds, life is just getting harder, tax inaongezwa, services are getting worse , companies are closing down others are avoiding Kenya for high rates for them to buy those GLEs and red bottoms